Date: 
24-05-2018
Reading: 
John 20:19-23

THURSDAY 25TH MAY 2018 MORNING

John 20:19-23 New International Version (NIV)

Jesus Appears to His Disciples

19 On the evening of that first day of the week, when the disciples were together, with the doors locked for fear of the Jewish leaders, Jesus came and stood among them and said, “Peace be with you!” 20 After he said this, he showed them his hands and side. The disciples were overjoyed when they saw the Lord.

21 Again Jesus said, “Peace be with you! As the Father has sent me, I am sending you.” 22 And with that he breathed on them and said, “Receive the Holy Spirit. 23 If you forgive anyone’s sins, their sins are forgiven; if you do not forgive them, they are not forgiven.”

Through the Holy Spirit servants of the Lord are enabled to do God's work, without which they could not face the persecution and hardships. Jesus also gave his disciples the authority to forgive or not to forgive sins.

ALHAMISI TAREHE 25 MEI 2018 ASUBUHI

Yohana 20:19-23  Neno: Bibilia Takatifu (SNT)

Yesu Anawatokea Wanafunzi Wake

19 Jumapili hiyo jioni, wakati wanafunzi walikuwa pamoja huku milango ikiwa imefungwa kwa kuwaogopa Wayahudi, Yesu aliwato kea! Akasimama kati yao akasema, “Amani iwe nanyi.” 20 Baada ya kusema haya, aliwaonyesha mikono yake na ubavu wake. Wanafunzi walifurahi sana walipomwona Bwana! 21 Yesu akawaambia tena, “Amani iwe nanyi. Kama Baba alivyonituma, mimi pia nawatuma ninyi.” 22 Na alipokwisha kusema haya akawavuvia pumzi yake akawaambia, “Pokeeni Roho Mtakatifu. 23 Mkimsamehe mtu ye yote dhambi zake, atakuwa amesamehewa. Msipomsamehe, atakuwa hajasame hewa.”

Yesu aliwaachia wanafunzi wake nguvu za Roho Mtakatifu, watumishi wa Bwana pia wanapata nguvu ya kufanya kazi yake wakati mwingine kwenye mazingira magumu na mateso. Yesu pia aliwapa wanafunzi wake mamlaka ya kusamehe  au kutosamehe dhambi za waumini.