-
TANGAZO: Mafundisho ya Afya Kwa Watoto
Kamati ya Afya na Ustawi wa Jamii ya Usharika wa Kanisa Kuu Azania Front, inapenda kuwatangazia washarika wote kuwa Mafundisho ya Afya kwa wanafunzi wa Kipaimara kwa Mwaka wa Kwanza na wa Pili yatafanyika siku ya Jumamosi, tarehe 16/11/2024 kuanzia saa 2.00 asubuhi mpaka saa 9.00 alasiri hapa Usharikani Azania Front Cathedral. Watoto na vijana wote waliopata Kipaimara wenye umri wa miaka 15 pia wanakaribishwa kwenye mafundisho haya.
Matangazo ya Usharika tarehe 10 November 2024
MATANGAZO YA USHARIKA
TAREHE 10 NOVEMBA, 2024
SIKU YA BWANA YA 3 KABLA YA MAJILIO
NENO LINALOTUONGOZA NI
MWENYE KUVUMILIA HATA MWISHO NDIYE ATAKAYEOKOKA
1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli.
2. Wageni: Mgeni aliyetufikia kwa cheti ni Daniel Mbonjwa toka Usharika wa Bethelehemu Nyakato Mwanza.
3. Matoleo ya Tarehe 03/11/2024
Tunamshukuru Mungu aliyetupa afya ya kumwabudu na utayari wa kumtolea kwa hiari mali alizotupa kwa kazi yake.
NAMBA YA SADAKA KWA NJIA YA MTANDAO:
-
-
-
-
-
Matangazo ya Usharika tarehe 3 Oktoba 2024
MATANGAZO YA USHARIKA
TAREHE 03 NOVEMBA, 2024
SIKUKUU YA WATAKATIFU
NENO LINALOTUONGOZA NI
SISI NI WENYEJI WA MBINGUNI
1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli.
2. Wageni: Mgeni aliyetufikia kwa cheti ni Dorica Michael Fungo toka Usharika wa Tabata Kimanga. Anahamia hapa Kanisa Kuu.
3. Matoleo ya Tarehe 27/10/2024
Tunamshukuru Mungu aliyetupa afya ya kumwabudu na utayari wa kumtolea kwa hiari mali alizotupa kwa kazi yake.
-
-
-
- ‹ previous
- 2 of 2