Uwakili wetu kwa Mungu./ Heri Buberwa.
Mpendwa Msharika, soma Tangazo lililopo hapa chini ili uelewe nini kinahitajika kuweza kushiriki katika ziara ya kwenda Usharika rafiki wa Messiah...
Kambi ya Watoto itafanyika siku za Alhamisi na Ijumaa (Trh 27-28 Juni 2024) katika Usharika wa Kanisa Kuu Azania Front. Muda wa semina ni kuanzia...
Jarida la Usharika wa Kanisa Kuu Azania Front Toleo la 15 (Januari - Machi 2024) sasa lipo tayari. Pata nakala yako kupitia link hapa chini.