Psalm 104:24, John 13:1-17, Genesis 1:31
02-03-2018
We are designed to be God’s Ambassadors here on earth and to rule on His behalf. Mungu alituumba ili kumwakilisha kutawala uumbaji wake hapa duniani. {Pastor P. Chuwa}
2 Samuel 1:13-16 NIV (2Samueli 13-16)
01-03-2018
Human life is sacred from conception to natural death. Maisha ya binadamu wote tangu tumboni wa mamaye hadi kifo cha asili yako mkononi wa Mungu. {Pastor Chuwa}
Exodus 1:8-14 NIV (Kutoka 1:8-14)
26-02-2018
Let's treat other people right. Tuwatendee haki watu wengine. {Pastor P. Chuwa}
Amos 7:1-6 NIV (Amosi 7:1-6)
24-02-2018
Let us pray on behalf of our nation. Tumwombe Mungu kwa ajili ya Taifa letu.
James 1:1-4 NIV (Yakobo 1:1-4)
22-02-2018
Temptations come to test our faith..Majaribu yanakuja kama mtihani wa kupima imani yetu. {Pastor P. Chuwa}
Romans 6:12-14 NIV (Warumi 6:12-14)
21-02-2018
Jesus has died for us to set us free from Satan’s power...Yesu Kristo alikufa msalabani kutuweka huru na utumwa wa shetani. {By Pastor P. Chuwa}
Psalm 139:23-24, Romans 6:12-14, Luke 4:1-15 NIV
18-02-2018
If we depend on God, we will overcome temptations. Tukimtegemea Mungu, tutashinda majaribu. {By Pastor P. Chuwa}
Joel 2:12-14 NIV ( Yoeli 2:12-14 )
17-02-2018
Jesus was willing to die for you so that your sins can be forgiven. Yesu Kristo alijitoa kufa masalabani ili usamehewe dhambi zako. {By Pastor P Chuwa}
Luke 17:1-4 NIV (Luka 17:1-4)
16-02-2018
Forgive others as God forgives us. Wasamehe wengine kama Mungu anavyotusamehe. {By Pastor P. Chuwa}
2 Chronicles 7:11-14 NIV (2 Mambo za nyakati 7:11-14)
15-02-2018
God is ready to hear and answer our prayers when we come to Him in humility and faith. Mungu yuko tayari kusikia maombi yetu tukija kwake kwa unyenyekevu na imani. {By Pastor P Chuwa}

Pages