Njia ya ufalme wa Mungu. The way of the Kingdom of God. /Heri Buberwa.
Matendo ya Mitume 3:1-10 (Acts)
16-10-2021
Sala zetu zinajibiwa tukiomba kwa imani. Our prayers are fulfilled when we pray in faith. /Heri Buberwa.
Isaya 50:4-9
14-10-2021
Basi tuwe watu wafundishwao, tusio wakaidi, ndipo BWANA atatusaidia na kutupa haki ya uzima. /Heri Buberwa
Yohana 9:24-34 (John)
12-10-2021
Tuwe na imani kama kipofu aliyeponywa. Let us have faith as the blind man who was healed../Heri Buberwa.
Marko 9:14-26 (Mark)
11-10-2021
Nguvu ya Imani katika Yesu Kristo. The power of faith in Jesus Christ.
Mithali 7:1-3 (Proverbs)
08-10-2021
Kulishika neno la Mungu, tukizishika amri zake. Keeping God's word, keeping His commandments. /Heri Buberwa.
1 Yohana 2:1-6 ( 1 John 2:1-6)
06-10-2021
Tunaitwa kuwafundisha watoto wetu njia za haki. We are called to teach our children the right ways./Heri Buberwa.