Date: 
12-06-2019
Reading: 
1 Corinthians 2:13-16

WEDNESDAY 12TH JUNE 2019 MORNING                                   

1 Corinthians 2:13-16 New International Version (NIV)

13 This is what we speak, not in words taught us by human wisdom but in words taught by the Spirit, explaining spiritual realities with Spirit-taught words.[a] 14 The person without the Spirit does not accept the things that come from the Spirit of God but considers them foolishness, and cannot understand them because they are discerned only through the Spirit. 15 The person with the Spirit makes judgments about all things, but such a person is not subject to merely human judgments,16 for,“Who has known the mind of the Lord
    so as to instruct him?”[
b]But we have the mind of Christ.

Footnotes:

  1. 1 Corinthians 2:13 Or Spirit, interpreting spiritual truths to those who are spiritual
  2. 1 Corinthians 2:16 Isaiah 40:13

The Apostle Paul declares that his message is inspired by the Holy Spirit. He is teaching about God as God Himself enables him. Those who listen also need to be inspired by the Holy Spirit in order to understand and accept the message.

Thank God that He has given you the Holy Spirit to guide and teach you. Ask God to increase your faith and wisdom to understand and obey His Word.


JUMATANO TAREHE 12 JUNI 2019 ASUBUHI                            

1 KORINTHO 2:13-16

13 Nayo twayanena, si kwa maneno yanayofundishwa kwa hekima ya kibinadamu, bali yanayofundishwa na Roho, tukiyafasiri mambo ya rohoni kwa maneno ya rohoni. 
14 Basi mwanadamu wa tabia ya asili hayapokei mambo ya Roho wa Mungu; maana kwake huyo ni upuzi, wala hawezi kuyafahamu, kwa kuwa yatambulikana kwa jinsi ya rohoni. 
15 Lakini mtu wa rohoni huyatambua yote, wala yeye hatambuliwi na mtu. 
16 Maana, Ni nani aliyeifahamu nia ya Bwana, amwelimishe? Lakini sisi tunayo nia ya Kristo.

Mtume Paulo anasema kwamba ujumbe wake unaongozwa na Roho Mtakatifu. Ni Mungu mwenyewe ambaye anamwezesha kufundisha Neno la Mungu. Pia hata wasikilizaji wanapaswa kuongozwa na Roho Mtakatifu ili waweze kuelewa na kuamini Neno la Mungu.

Tumshukuru Mungu kwamba sisi pia tunaye Roho Mtakatifu na anatuongoza na kutufundisha. Mwombe Mungu akuongeze imani na hekima ili ulewe Neno lake na ulitii.