Genesis 30:22-27 (Mwanzo 30:22-27)
29-01-2020
Trust God all the time. Mwamini Mungu kila wakati..... /Pastor J. Mlaki
Psalm 115:11-18  (Zaburi 115:11-18
28-01-2020
 God is the help and shield to those who trust in him. Mungu ni msaada na ngao kwa wale wanaomtumaini../Pastor J Mlaki
1 Corinthians 3:16-23
24-01-2020
We belong to our faithful Savior. Sisi tu mali yake mwokozi wetu mwaminifu..../Pastor J. Mlaki
Romans 11:13-24
21-01-2020
All can be saved by God's Grace. Yeyote anaweza kuoka kwa Neema za Mungu..../Pastor J. Mlaki
1Chronicles 22:19 (1 Mambo ya Nyakati 22:19)
20-01-2020
All work for God must begin with us. Kazi yoyote ya Mungu ni lazima ianzie ndani yetu.../Pastor J. Mlaki
Ezikiel 36:22-28
18-01-2020
The human heart is the center of personality. Moyo wa binadamu ndio asili ya utu wake. {Pastor J Mlaki}
Mark 1:8-11
17-01-2020
Jesus is the Son of God. Yesu ni Mwana wa Mungu. ..Pastor J. Mlaki
Acts 10:44-48 [Matendo 10:44-48]
16-01-2020
The Holy Spirit's presence was the evidence that opened the way for baptism. Kushuka kwa Roho Mtakatifu kulifungua njia ili watu wabatizwe...{Pastor J.Mlaki}
Romans 6:1-11
15-01-2020
By God’s grace we have been united with Christ. Kwa neema ya Mungu tumeunganishwa na Kristo..../Pastor J Mlaki
Acts 22:6-10 (Matendo 22:6-10)
14-01-2020
We are saved by Grace. Tunaokolewa kwa neema. {Pastor Joseph Mlaki}

Pages