1Corinthians 15:24-28 (1Korintho 15:24-28)
30-11-2019
We must make a choice of where we shall spend eternity. Lazima tufanye uamuzi wapi tutakapoishi milele. {Pastor J. Mlaki}
2 Timothy 4:1-8
29-11-2019
God has called Christians to preach the gospel. Mungu amewaita wakristo kuhubiri injili. {Pastor J Mlaki}
Revelation 22:16-17 (Ufunuo 22:16-17)
28-11-2019
Salvation is by grace through faith. Wokovu ni kwa neema, kwa njia ya imani. {Pastor J Mlaki}
Luke 12:35-43
27-11-2019
Wait for the Lord while serving him. Umngojee Bwana huku ukimtumikia. {Pastor J Mlaki}
Job 37:21-24
23-11-2019
Trust God in all things. Mwamini Mungu katika vitu vyote. {Pastor J. Mlaki}
Amos 9:7-10
22-11-2019
Sinners cannot flee from God's justice because He is omnipresent. Wenye dhambi hawawezi kuikimbia haki ya Mungu, kwa sababu yeye yuko mahali pote. { Pastor J Mlaki}
Jeremiah 25:32-38
21-11-2019
As Christians, we are to live in constant fellowship with God. Wakristo, tunapaswa kuwa na mahusiano ya kudumu na Mungu. {Pastor J Mlaki}
Revelation 21:1-5 (Ufunuo 21:1-5)
20-11-2019
God satisfies needs that cannot be satisfied anywhere else. Mungu hutosheleza mahitaji yale ambayo hakuna mwingine anayeweza kufanya hivyo popote. {Pastor J Mlaki}
Matthew 13:36-43
19-11-2019
Those who accept the message of Jesus Christ find themselves against the forces of darkness. Wale wanaoipokea habari njema ya Yesu Kristo wanakuwa katika upinzani dhidi ya nguvu za giza. {Pastor J Mlaki}
Amos 1:6-8
18-11-2019
Both prayer and service are essential. Maombi na huduma vinakwenda pamoja. {Pastor J Mlaki}

Pages