Jesus Christ is the temple of God. Yesu Kristo ni hekalu la Mungu. {Pastor J. Mlaki}
John 17:4-9 (Yohana 17:4-9)
29-10-2019
Prayer and inner joy are linked together. Maombi na raha ndani ya mioyo yetu vina uhusiano. {Pastor J.Mlaki}
Matthew 5:13
28-10-2019
Christians have the responsibility of serving others. Wakristo wana jukumu la kuwahudumia wengine. {Pastor J. Mlaki}
Mark 5:25-34
26-10-2019
Jesus heals with faith. Yesu anaponya kwa imani. {Pastor J. Mlaki}
John 4:46-54
25-10-2019
With God, anything is possible if you truly believe. Kwa Mungu kila jambo linawezekana ukiamini bila shaka. {Pastor J. Mlaki}
Luke 7:2-10
24-10-2019
Faith comes by hearing the Word of God. Imani inakuja kwa kusikia neno la Mungu. {Pastor J. Mlaki}
Acts 14:3-10 (Matendo 14:3-10)
23-10-2019
What will take you back from doing God's will? Ni kitu gani kitakuzuia katika kutenda mapenzi ya Mungu? {Pastor Joseph Mlaki}
John 5:10-18
22-10-2019
Jesus Christ can change our lives, but we have to respond to him in faith. Yesu Kristo anaweza kubadili maisha yetu, lakini tunahitaji kutambua hilo kwa njia ya imani. {Pastor Joseph Mlaki}
Luke 8:43-48
21-10-2019
Jesus knows your need and He knows the things in your heart. Yesu anajua mahitaji yako na yaliyoma moyoni mwako. {Pastor Joseph Mlaki}
2Corithians 13:9-5
19-10-2019
Examine yourself, does Jesus live in you? Jichunguze mwenyewe, je Yesu anaishindani mwako? {Pastor Joseph Mlaki}