Date: 
22-08-2020
Reading: 
James 5:1-6  (Yakobo 5:1-6)

SATURDAY 22ND AUGUST 2020 MORNING                                               

James 5:1-6 New International Version (NIV)

Now listen, you rich people, weep and wail because of the misery that is coming on you. Your wealth has rotted, and moths have eaten your clothes. Your gold and silver are corroded. Their corrosion will testify against you and eat your flesh like fire. You have hoarded wealth in the last days. Look! The wages you failed to pay the workers who mowed your fields are crying out against you. The cries of the harvesters have reached the ears of the Lord Almighty. You have lived on earth in luxury and self-indulgence. You have fattened yourselves in the day of slaughter.[a] You have condemned and murdered the innocent one, who was not opposing you.

 

Wealth can be a dangerous trap that leads people to eternal destruction.

Therefore, we should be careful not to use it in an ungodly manner, but rather to be faithful and good stewards of our wealth.


JUMAMOSI TAREHE 22 AGOSTI 2020 ASUBUHI                                           

YAKOBO 5:1-6

1 Haya basi, enyi matajiri! Lieni, mkapige yowe kwa sababu ya mashaka yenu yanayowajia.
Mali zenu zimeoza, na mavazi yenu yameliwa na nondo.
Dhahabu yenu na fedha yenu zimeingia kutu, na kutu yake itawashuhudia, nayo itakula miili yenu kama moto. Mmejiwekea akiba katika siku za mwisho.
Angalieni, ujira wa wakulima waliovuna mashamba yenu, ninyi mliouzuia kwa hila, unapiga kelele, na vilio vyao waliovuna vimeingia masikioni mwa Bwana wa majeshi.
Mmefanya anasa katika dunia, na kujifurahisha kwa tamaa; mmejilisha mioyo yenu kama siku ya machinjo.
Mmehukumu mwenye haki mkamwua; wala hashindani nanyi.

 

Utajiri unaweza kuwa mtego wa hatari unaowaelekeza watu kwenye adhabu ya milele. Hivyo, tunahitaji kuwa makini ili tusitumie utajiri wetu katika njia isiyompendeza Mungu, bali tuwe waaminifu na mawakili wema wa mali zetu.