Date: 
21-08-2020
Reading: 
Proverbs 12:26-28  (Mithali 12:26-28)

FRIDAY 21ST AUGUST 2020 MORNING                                                    

Proverbs 12:26-28 New International Version (NIV)

The righteous choose their friends carefully,
    but the way of the wicked leads them astray.

27 The lazy do not roast[a] any game,
    but the diligent feed on the riches of the hunt.

28 In the way of righteousness there is life;
    along that path is immortality.

 

Life is like a journey. An evil man is like a traveler who has no guide. This traveler must guide himself on his journey. He does not know the correct route, so he will go the wrong way.


IJUMAA TAREHE 21 AGOSTI 2020 ASUBUHI                                           

MITHALI 12:26-28

26 Mwenye haki ni kiongozi cha mwenzake; Bali njia ya wasio haki huwakosesha.
27 Mtu mvivu hapiki mawindo yake; Bali mwenye bidii anazo mali za thamani.
28 Katika njia ya haki kuna uhai; Wala hakuna mauti katika mapito yake.

Maisha ni kama safari. Mtu mwovu ni kama msafiri asiye na mwongozaji. Msafiri huyu analazimika kujiongoza mwenyewe safarini, naye hafahamu njia sahihi; na hivyo atapotea.