Date: 
02-10-2020
Reading: 
Mark 9:33-39

THURSDAY 1ST OCTOBER 2020 MORNING                                                                       

Mark 9:33-39 New International Version (NIV)

33 They came to Capernaum. When he was in the house, he asked them, “What were you arguing about on the road?” 34 But they kept quiet because on the way they had argued about who was the greatest.

35 Sitting down, Jesus called the Twelve and said, “Anyone who wants to be first must be the very last, and the servant of all.”

36 He took a little child whom he placed among them. Taking the child in his arms, he said to them, 37 “Whoever welcomes one of these little children in my name welcomes me; and whoever welcomes me does not welcome me but the one who sent me.”

If we want to receive honor in the sight of others, we do not achieve it by grasping it for ourselves. True honor is measured by how far down someone will reach to serve in Jesus’ name.


ALHAMISI TAREHE 10 OCTOBER 2020 ASUBUHI                                            

MARKO 9:33-37

33 Wakafika Kapernaumu; hata alipokuwamo nyumbani, akawauliza, Mlishindania nini njiani?
34 Wakanyamaza; kwa maana njiani walikuwa wakibishana wao kwa wao, ni nani aliye mkubwa.
35 Akaketi chini, akawaita wale Thenashara akawaambia, Mtu atakaye kuwa wa kwanza atakuwa wa mwisho kuliko wote, na mtumishi wa wote.
36 Akatwaa kitoto, akamweka katikati yao, akamkumbatia, akawaambia,
37 Mtu akimpokea mtoto mmoja wa namna hii kwa jina langu, anipokea mimi; na mtu akinipokea mimi, humpokea, si mimi, bali yeye aliyenituma.

Ikiwa tunataka kuheshimiwa mbele za wengine, hatujitafutii kwa nguvu zetu wenyewe. Heshima ya kweli hupimwa kwa jinsi gani mtu amejishusha ili kuwatumikia wengine katika Jina la Yesu Kristo.