Date: 
14-10-2020
Reading: 
Mathew 5:21-24

WEDNESDAY 14TH OCTOBER 2020 MORNING l

Matthew 5:21-24 New International Version (NIV)

21 “You have heard that it was said to the people long ago, ‘You shall not murder,[a] and anyone who murders will be subject to judgment.’ 22 But I tell you that anyone who is angry with a brother or sister[b][c] will be subject to judgment. Again, anyone who says to a brother or sister, ‘Raca,’[d] is answerable to the court. And anyone who says, ‘You fool!’ will be in danger of the fire of hell.

23 “Therefore, if you are offering your gift at the altar and there remember that your brother or sister has something against you, 24 leave your gift there in front of the altar. First go and be reconciled to them; then come and offer your gift.

 

 Jesus emphasizes that holiness involves, not just avoiding certain acts, such as murder or adultery, but also involves the thoughts and feelings that lie behind those actions. If we will bring our thoughts and feelings under control, we need not worry about murdering someone or committing adultery.


JUMATANO TAREHE 14 OKTOBA 2020 ASUBUHI MATHAYO 5:21-24

21 Mmesikia watu wa kale walivyoambiwa, Usiue, na mtu akiua, itampasa hukumu.

22 Bali mimi nawaambieni, Kila amwoneaye ndugu yake hasira itampasa hukumu; na mtu akimfyolea ndugu yake, itampasa baraza; na mtu akimwapiza, itampasa jehanum ya moto.

23 Basi ukileta sadaka yako madhabahuni, na huku ukikumbuka ya kuwa ndugu yako ana neno juu yako,

24 iache sadaka yako mbele ya madhabahu, uende zako, upatane kwanza na ndugu yako, kisha urudi uitoe sadaka yako.

Yesu anasisitiza kuwa utakatifu unahusisha, siyo tu kuepuka matendo fulani kama vile uzinzi na uuaji, lakini pia unahusisha mawazo na fikra zinazosababisha matendo hayo. Ikiwa tutaweza kuwa na kiasi dhidi ya mawazo na fikra zetu, hatuhitaji kuona shaka juu ya dhambi ya kuua au kuzini.