Date: 
16-02-2021
Reading: 
Galatians 1:1-5 (Wagalatia 1:1-5)

TUESDAY 16TH FEBRUARY 2021    MORNING                                        

Galatians 1:1-5 New International Version (NIV)

Paul, an apostle—sent not from men nor by a man, but by Jesus Christ and God the Father, who raised him from the dead— and all the brothers and sisters[a] with me,

To the churches in Galatia:

Grace and peace to you from God our Father and the Lord Jesus Christ, who gave himself for our sins to rescue us from the present evil age, according to the will of our God and Father, to whom be glory for ever and ever. Amen.

Paul wants us to understand that Jesus is enough! Faith in Jesus Christ is enough. Jesus has delivered us from the power of sin for new life now, and Jesus will deliver us from the presence of sin for an everlasting life in God’s presence, in the age to come. Do you believe that?


JUMANNE TAREHE 16 FEBRUARY 2021     ASUBUHI                             

WAGALATIA 1:1-5

1Paulo, mtume, (si mtume wa wanadamu, wala kutumwa na mwanadamu, bali na Yesu Kristo, na Mungu Baba aliyemfufua kutoka kwa wafu),
na ndugu wote walio pamoja nami, kwa makanisa ya Galatia;
Neema na iwe kwenu, na amani, zitokazo kwa Mungu Baba, na kwa Bwana wetu Yesu Kristo;
ambaye alijitoa nafsi yake kwa ajili ya dhambi zetu, ili atuokoe na dunia hii mbovu iliyopo sasa, kama alivyopenda Mungu, Baba yetu.
Utukufu una yeye milele na milele, Amina.

Mtume Paulo anapenda tufahamu kuwa Yesu anatosha. Imani katika Yesu Kristo yatosha. Yesu ametuokoa dhidi ya nguvu za dhambi na kutupa maisha mapya. Yesu atatuepusha na dhambi kwa ajili ya uzima wa milele ambao Mungu ametuandalia katika ulimwengu ujao. Je, unayasadiki hayo?