Date: 
24-12-2019
Reading: 
Mathew 1:18-21

TUESDAY 24TH DECEMBER 2019  MORNING
Matthew 1:18-21 New International Version (NIV)
18 This is how the birth of Jesus the Messiah came about[d]: His mother Mary was pledged to be married to Joseph, but before they came together, she was found to be pregnant through the Holy Spirit. 19 Because Joseph her husband was faithful to the law, and yet[e] did not want to expose her to public disgrace, he had in mind to divorce her quietly.
20 But after he had considered this, an angel of the Lord appeared to him in a dream and said, “Joseph son of David, do not be afraid to take Mary home as your wife, because what is conceived in her is from the Holy Spirit. 21 She will give birth to a son, and you are to give him the name Jesus,[f] because he will save his people from their sins.”


Because Jesus came to save His people from sin, all those who put their trust in Him can be put right with God. It is the time when ‘peace on earth’ is announced. God is renewing our relationships and restoring the broken ones. We are reminded through Christ’s incarnation that “God still loves us.”


JUMANNE TAREHE 24 DESEMBA 2019  ASUBUHI                            MATHAYO 1:18-21
18 Kuzaliwa kwake Yesu Kristo kulikuwa hivi. Mariamu mama yake alipokuwa ameposwa na Yusufu, kabla hawajakaribiana, alionekana ana mimba kwa uweza wa Roho Mtakatifu.
19 Naye Yusufu, mumewe, kwa vile alivyokuwa mtu wa haki, asitake kumwaibisha, aliazimu kumwacha kwa siri.
20 Basi alipokuwa akifikiri hayo, tazama, malaika wa Bwana alimtokea katika ndoto, akisema, Yusufu, mwana wa Daudi, usihofu kumchukua Mariamu mkeo, maana mimba yake ni kwa uweza wa Roho Mtakatifu.
21 Naye atazaa mwana, nawe utamwita jina lake Yesu, maana, yeye ndiye atakayewaokoa watu wake na dhambi zao.


Kwa kuwa Yesu alikuja kuwaokoa watu wake toka dhambini; basi wale wote wanaomtumaini watapatanishwa naye. Huu ni wakati ambao tangazo la ‘amani duniani’ linatolewa. Mungu anahuisha mahusiano yetu na kurejesha yale yaliyovunjika. Kupitia kuzaliwa kwa Yesu Kristo tunakumbushwa kuwa “Mungu bado anatupenda.”