Date: 
05-12-2019
Reading: 
Zephaniah 1:8-17

THURSDAY 5TH DECEMBER 2019 MORNING  

Zephaniah 1:8-17 New International Version (NIV)

“On the day of the Lord’s sacrifice
    I will punish the officials
    and the king’s sons
and all those clad
    in foreign clothes.
On that day I will punish
    all who avoid stepping on the threshold,[c]
who fill the temple of their gods
    with violence and deceit.

10 “On that day,”
    declares the Lord,
“a cry will go up from the Fish Gate,
    wailing from the New Quarter,
    and a loud crash from the hills.
11 Wail, you who live in the market district[d];
    all your merchants will be wiped out,
    all who trade with[e] silver will be destroyed.
12 At that time I will search Jerusalem with lamps
    and punish those who are complacent,
    who are like wine left on its dregs,
who think, ‘The Lord will do nothing,
    either good or bad.’
13 Their wealth will be plundered,
    their houses demolished.
Though they build houses,
    they will not live in them;
though they plant vineyards,
    they will not drink the wine.”

14 The great day of the Lord is near—
    near and coming quickly.
The cry on the day of the Lord is bitter;
    the Mighty Warrior shouts his battle cry.
15 That day will be a day of wrath—
    a day of distress and anguish,
        a day of trouble and ruin,
    a day of darkness and gloom,
        a day of clouds and blackness—
16     a day of trumpet and battle cry
against the fortified cities
    and against the corner towers.

17 “I will bring such distress on all people
    that they will grope about like those who are blind,
    because they have sinned against the Lord.
Their blood will be poured out like dust
    and their entrails like dung.

 

If you seek your own glory among men, and if you exalt your own name among men, truly you have your reward on the earth.

But if you humble yourself and seek the glory of God above all things, and if you hide your name in the name of God, and if you clothe yourself with the righteousness of his Son, then your heavenly Father who loves his name above all things will reward you.


ALHAMISI TAREHE 5 DESEMBA 2019  ASUBUHI 

SEFANIA 1:8-17

Na itakuwa, katika siku ile ya dhabihu ya Bwana, nitawaadhibu wakuu, na wana wa mfalme, na watu wote waliovaa mavazi ya kigeni.
Na katika siku ile nitawaadhibu hao wote warukao juu ya kizingiti, waijazao nyumba ya bwana wao udhalimu na udanganyifu.
10 Na katika siku ile, asema Bwana kutakuwako sauti ya kilio kutoka lango la samaki, na mlio mkuu katika mtaa wa pili, na mshindo mkuu kutoka milimani.
11 Haya! Lieni, ninyi mkaao katika Makteshi, maana wafanya biashara wote wameangamia; hao wote waliokuwa na mizigo ya fedha wamekatiliwa mbali.
12 Kisha itakuwa wakati ule, nitauchunguza Yerusalemu kwa taa; nami nitawaadhibu watu walioganda juu ya sira zao; wasemao katika mioyo yao, Bwana hatatenda mema, wala hatatenda mabaya.
13 Na huko utajiri wao utakuwa mateka, na nyumba zao zitakuwa ukiwa; naam, watajenga nyumba, lakini hawatakaa ndani yake; nao watapanda mizabibu, lakini hawatakunywa divai yake.
14 Hiyo siku ya Bwana iliyo kuu i karibu; I karibu, nayo inafanya haraka sana; Naam, sauti ya siku ya Bwana; Shujaa hulia kwa uchungu mwingi huko!
15 Siku ile ni siku ya ghadhabu, Siku ya fadhaa na dhiki, Siku ya uharibifu na ukiwa, Siku ya giza na utusitusi, Siku ya mawingu na giza kuu,
16 Siku ya tarumbeta na ya kamsa, Juu ya miji yenye maboma, Juu ya buruji zilizo ndefu sana.
17 Nami nitawaletea wanadamu dhiki, hata watakwenda kama vipofu, kwa sababu wamemtenda Bwana dhambi; na damu yao itamwagwa kama mavumbi, na nyama yao kama mavi.

Ikiwa utajipatia utukufu mbele za watu, na ikiwa utalitukuza jina lako mbele za watu, hakika unayo malipo yako hapa duniani.

Lakini ikiwa utajinyenyekeza na kumtukuza Mungu juu ya vitu vyote, na ikiwa utalificha jina lako ndani ya jina la Mungu, na ikiwa utajivika kwa haki ya mwanawe, ndipo baba yenu wa mbinguni ambaye analipenda jina lake juu ya vitu vyote, atakupa thawabu yako.