Date: 
15-06-2019
Reading: 
1 Corinthians 14:26-33 (Korintho 14:26-33)

SATURDAY 15TH JUNE 2019 MORNING                                       

1 Corinthians 14:26-33 New International Version (NIV)

Good Order in Worship

26 What then shall we say, brothers and sisters? When you come together, each of you has a hymn, or a word of instruction, a revelation, a tongue or an interpretation. Everything must be done so that the church may be built up. 27 If anyone speaks in a tongue, two—or at the most three—should speak, one at a time, and someone must interpret.28 If there is no interpreter, the speaker should keep quiet in the church and speak to himself and to God.

29 Two or three prophets should speak, and the others should weigh carefully what is said. 30 And if a revelation comes to someone who is sitting down, the first speaker should stop. 31 For you can all prophesy in turn so that everyone may be instructed and encouraged. 32 The spirits of prophets are subject to the control of prophets. 33 For God is not a God of disorder but of peace—as in all the congregations of the Lord’s people.

The Apostle  Paul gave instructions to the church at Corinth about their worship services. At that time there was no formal liturgy for worship services. However Paul  reminds them that God is a God of order. Pray that our worship services would  be pleasing to God and a blessing to those who participate. 


 JUMAMOSI TAREHE 15 JUNI 2019 ASUBUHI                                 

1 KORINTHO 14:26-33     

26 Basi, ndugu, imekuwaje? Mkutanapo pamoja, kila mmoja ana zaburi, ana fundisho, ana ufunuo, ana lugha, ana tafsiri. Mambo yote na yatendeke kwa kusudi la kujenga. 
27 Kama mtu akinena kwa lugha, wanene wawili au watatu, si zaidi, tena zamu kwa zamu, na mmoja na afasiri. 
28 Lakini asipokuwapo mwenye kufasiri na anyamaze katika kanisa; aseme na nafsi yake tena na Mungu. 
29 Na manabii wanene wawili, au watatu, na wengine wapambanue. 
30 Lakini mwingine aliyeketi akifunuliwa neno, yule wa kwanza na anyamaze. 
31 Kwa maana ninyi nyote mwaweza kuhutubu mmoja mmoja, ili wote wapate kujifunza, na wote wafarijiwe. 
32 Na roho za manabii huwatii manabii. 
33 Kwa maana Mungu si Mungu wa machafuko, bali wa amani; vile vile kama ilivyo katika makanisa yote ya watakatifu. 

Mtume Paulo alitoa maelekezo kwa kanisa kule Korintho kuhusu ibada zao. Wakati ule litugia maluumu ya ibada  ilikuwa haijaanza. Lakini Mungu ni Mungu wa utaratibu. Mwombe Mungu ibada zetu ziwe kwa utukufu wa Mungu na baraka kwa wahusika wote.