Date: 
10-08-2020
Reading: 
1 Peter 1:13-17

Monday 10th August 2020

1 Peter 1:13-17 (NIV)

Be Holy

13 Therefore, with minds that are alert and fully sober, set your hope on the grace to be brought to you when Jesus Christ is revealed at his coming. 14 As obedient children, do not conform to the evil desires you had when you lived in ignorance. 15 But just as he who called you is holy, so be holy in all you do; 16 for it is written: “Be holy, because I am holy.”[a]

17 Since you call on a Father who judges each person’s work impartially, live out your time as foreigners here in reverent fear.

Read full chapter

Footnotes

  1. 1 Peter 1:16 Lev. 11:44,45; 19  

    The work of transformation is not just an external pressure. It is an internal act with external evidences. God changes our lives; and He wants to be changing us from the day that we were saved all along conforming us, molding us to the completion.


JUMATATU TAREHE 10 AGOSTI 2010

1 PETRO 1:13-17

14 Kama watoto wa kutii msijifananishe na tamaa zenu za kwanza za ujinga wenu;
15 bali kama yeye aliyewaita alivyo mtakatifu, ninyi nanyi iweni watakatifu katika mwenendo wenu wote;
16 kwa maana imeandikwa, Mtakuwa watakatifu kwa kuwa mimi ni mtakatifu.
17 Na ikiwa mnamwita Baba, yeye ahukumuye kila mtu pasipo upendeleo, kwa kadiri ya kazi yake, enendeni kwa hofu katika wakati wenu wa kukaa hapa kama wageni.

Kazi ya kubadilishwa siyo tendo la nje tu. Ni jambo linalotendeka ndani ya mtu na kudhihirishwa katika utu wa nje. Mungu ndiye anayebadili maisha yetu, na anataka kuendelea kutubadilisha tangu siku ile tuliyookolewa; akituthibitisha, kututengeneza na hatimaye kutukamilisha.