Date: 
07-02-2020
Reading: 
1 Samuel 12:20-25

FRIDAY 7TH FEBRUARY 2020 MORNING  

1 Samuel 12:20-25 New International Version (NIV)

20 “Do not be afraid,” Samuel replied. “You have done all this evil; yet do not turn away from the Lord, but serve the Lord with all your heart. 21 Do not turn away after useless idols. They can do you no good, nor can they rescue you, because they are useless.22 For the sake of his great name the Lord will not reject his people, because the Lord was pleased to make you his own. 23 As for me, far be it from me that I should sin against the Lord by failing to pray for you. And I will teach you the way that is good and right. 24 But be sure to fear the Lord and serve him faithfully with all your heart; consider what great things he has done for you. 25 Yet if you persist in doing evil, both you and your king will perish.”

God forgives His people and deal with them graciously because of his great name. God has claimed us his own, and he would not abandon us now. God loved us and sent Jesus to die for our redemption; therefore, if God is for us who can be against us?


IJUMAA TAREHE 7 FEBRUARI 2020 ASUBUHI                                

2SAMWELI 12:20-25

20 Samweli akawaambia, Msiogope; ni kweli mmeutenda uovu huu wote; lakini msigeuke na kuacha kumfuata Bwana, bali mtumikieni Bwana kwa mioyo yenu yote.
21 Wala msigeuke upande, maana, kufuata vitu vya ubatili,
22 visivyoweza kusaidia wala kuokoa, kwa kuwa havifai kitu. Maana Bwana hatawaacha watu wake kwa ajili ya jina lake kuu; kwa kuwa imempendeza Bwana kuwafanya ninyi kuwa watu wake mwenyewe.
23 Walakini mimi, hasha! Nisimtende Bwana dhambi kwa kuacha kuwaombea ninyi; lakini nitawaelimisha katika njia iliyo njema, na kunyoka
24 Mcheni Bwana tu, mkamtumikie kwa kweli kwa mioyo yenu yote; maana, kumbukeni jinsi alivyowatendea mambo makuu.
25 Lakini kama mkiendelea kutenda mabaya, mtaangamia, ninyi na mfalme wenu pia.

Mungu anawasamehe watu wake na kuwahurumia kwa sababu ya jina lake kuu. Mungu ametuita tuwe watu wa milki yake, na hatatuacha kamwe. Mungu alitupenda na akamtuma Yesu afe kwa ajili ya ukombozi wetu; hivyo, ikiwa Mungu yupo upande wetu, ni nani atakayekuwa kinyume nasi?