Matangazo ya Usharika tarehe 4 Agosti 2024

MATANGAZO YA USHARIKA 

TAREHE 04 AGOSTI, 2024

SIKU YA BWANA YA 10 BAADA YA UTATU

NENO LINALOTUONGOZA SIKU YA LEO NI

ENENDENI KWA HEKIMA 

1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli. 

2. Wageni: Hakuna mgeni aliyetufikia kwa cheti. 

3. Matoleo ya Tarehe 28/07/2024

4. Tunamshukuru Mungu aliyetupa afya ya kumwabudu na utayari wa kumtolea kwa hiari mali alizotupa kwa kazi yake.

NAMBA YA SADAKA KWA NJIA YA MTANDAO: