Date: 
29-07-2019
Reading: 
Hebrews 13:1-3 (Waebrania 13:1-3)

MONDAY 29TH JULY 2019 MORNING                                 

Hebrews 13:1-3 New International Version (NIV)

Concluding Exhortations

1 Keep on loving one another as brothers and sisters. Do not forget to show hospitality to strangers, for by so doing some people have shown hospitality to angels without knowing it. Continue to remember those in prison as if you were together with them in prison, and those who are mistreated as if you yourselves were suffering.

Our theme this week is 'The commandment to Love'. The writer to the Hebrews encourages his readers to love one another. But also to love strangers and those in need. In the Gospels we read that Jesus said whatever kind thing we do for other people we are really doing for Him.

Let us show our love for God by being kind and loving to those around us. May God show us who we can help today.   


JUMATATU TAREHE 29 JULAI 2019 ASUBUHI                      

WAEBRANIA 13:1-3

1 Upendano wa ndugu na udumu. 
Msisahau kuwafadhili wageni; maana kwa njia hii wengine wamewakaribisha malaika pasipo kujua. 
Wakumbukeni hao waliofungwa kana kwamba mmefungwa pamoja nao; na hao wanaodhulumiwa, kwa vile ninyi nanyi mlivyo katika mwili. 

Wazo kuu la wiki hii ni “Amri ya Upendo”. Mwandishi wa Waraka huu anasihi Wakristo wapendane. Wapende na kujali pia wageni na wahitaji. Upendo wetu uwe wa matendo si wa maneno tu.

 Katika Injili tunasoma kwamba Yesu alisema tukifanya tendo jema na la ukarimu kwa binadamu wenzetu tumemfanyia yeye. Mungu atusaidie kutenda wema leo na siku zote kujali na kuwakirimu wahitaji.