Date: 
08-07-2019
Reading: 
Hebrews 13:5-6 (Ebrania 13:5-6)

MONDAY  8TH  JULY 2019 MORNING                                

Hebrews 13:5-6 New International Version (NIV)

Keep your lives free from the love of money and be content with what you have, because God has said,

“Never will I leave you;
    never will I forsake you.”[
a]

So we say with confidence,

“The Lord is my helper; I will not be afraid.
    What can mere mortals do to me?”[
b]

Footnotes:

  1. Hebrews 13:5 Deut. 31:6
  2. Hebrews 13:6 Psalm 118:6,7

Money is a useful tool but let us not allow it to master us. Those who desire to get rich can be tempted to be dishonest.  Let us work hard and earn money honestly and use it wisely to provide for our families to give to God’s work and to help those in need.  Let us remember to commit all our work into God’s hands and He will bless us.  


JUMATATU TAREHE 8 JULAI 2019 ASUBUHI                              

WAEBRANIA 13:5-6

Msiwe na tabia ya kupenda fedha; mwe radhi na vitu mlivyo navyo; kwa kuwa yeye mwenyewe amesema, Sitakupungukia kabisa, wala sitakuacha kabisa. 
Hata twathubutu kusema, Bwana ndiye anisaidiaye, sitaogopa; Mwanadamu atanitenda nini? 
 

Fedha zinatusiaidia katika maisha yetu. Lakini tujitadhari tusiheshimu na kupenda fedha sana. Tukitamani utajri tunaweza kujaribiwa kutafuta fedha kwa njia ambayo siyo halali. Tufanye kazi kwa bidii kutafuta riziki yetu kwa njia halali. Tutumie vizuri fedha kutunza famila zetu, kumtolea Mungu sadaka, na kusaida wahitaji. Tukumbuke kukabidhi kazi zetu zote kwa Mungu na yeye atatubariki.