Date: 
24-03-2020
Reading: 
Isaiah 55:1-3

MONDAY 23RD MARCH 2020  MORNING                                                          

Isaiah 55:1-3 New International Version (NIV)

1 “Come, all you who are thirsty,
    come to the waters;
and you who have no money,
    come, buy and eat!
Come, buy wine and milk
    without money and without cost.
Why spend money on what is not bread,
    and your labor on what does not satisfy?
Listen, listen to me, and eat what is good,
    and you will delight in the richest of fare.
Give ear and come to me;
    listen, that you may live.
I will make an everlasting covenant with you,
    my faithful love promised to David.

When we turn to God, and learn to live in his presence reliant on his provision.  It is only there that we will find true contentment.


JUMATATU TAREHE 23 MACHI 2020  ASUBUHI                                           

ISAYA 55:1-3

1 Haya, kila aonaye kiu, njoni majini, Naye asiye na fedha; njoni, nunueni mle; Naam, njoni, nunueni divai na maziwa, Bila fedha na bila thamani.
2 Kwani kutoa fedha kwa ajili ya kitu ambacho si chakula? Na mapato yenu kwa kitu kisichoshibisha? Nisikilizeni kwa bidii, mle kilicho chema, Na kujifurahisha nafsi zenu kwa unono.
3 Tegeni masikio yenu, na kunijia; Sikieni, na nafsi zenu zitaishi; Nami nitafanya nanyi agano la milele, Naam, rehema za Daudi zilizo imara.

Ikiwa tutamrudia Mungu, na kujifunza kuishi katika uwepo wake na kumtegemea yeye; Hapo ndipo mahali pekee tuwezapo kupata utoshelevu wa kweli.