Date: 
12-12-2019
Reading: 
Isaiah 57:14-15

THURSDAY 12TH DECEMBER 2019       MORNING                                                

Isaiah 57:14-15 New International Version (NIV)

14 And it will be said:

“Build up, build up, prepare the road!
    Remove the obstacles out of the way of my people.”
15 For this is what the high and exalted One says—
    he who lives forever, whose name is holy:
“I live in a high and holy place,
    but also with the one who is contrite and lowly in spirit,
to revive the spirit of the lowly
    and to revive the heart of the contrite.

God promises to revive, lead, heal & encourage His humbled people by doing for them what they cannot do for themselves. He enables us to be the righteous people He has called us to be.


ALHAMISI TAREHE 12 DESEMBA 2019    ASUBUHI                                          

ISAYA 57:14-15

14 Naye atasema, Tutieni, tutieni, Itengenezeni njia, Kiondoeni kila kikwazacho Katika njia ya watu wangu.
15 Maana yeye aliye juu, aliyetukuka, akaaye milele; ambaye jina lake ni Mtakatifu; asema hivi; Nakaa mimi mahali palipoinuka, palipo patakatifu; tena pamoja na yeye aliye na roho iliyotubu na kunyenyekea, ili kuzifufua roho za wanyenyekevu, na kuifufua mioyo yao waliotubu.

Mungu anaahidi kuleta uamsho kwa watu wake walio wanyenyekevu; atawaponya, atawaongoza na kuwatia moyo. Atawatendea mambo yale wasiyoweza kujitendea. Mungu anatuhesabia haki kama alivyotukusudia tangu mwanzo.