Date: 
18-05-2020
Reading: 
John 16:25-27

MONDAY 18TH MAY 2020     MORNING                                                          

John 16:25-27     New International Version (NIV)

 

25 “Though I have been speaking figuratively, a time is coming when I will no longer use this kind of language but will tell you plainly about my Father. 26 In that day you will ask in my name. I am not saying that I will ask the Father on your behalf. 27 No, the Father himself loves you because you have loved me and have believed that I came from God.

We need the Holy Spirit to disclose the things of Christ to us; and we need Christ to reveal the Father to us. Therefore, we are dependent on the Triune God for all spiritual understanding. Lord gives us hope for future spiritual growth, only if we seek Him wholeheartedly. 


JUMATATU TAREHE 18 MEI 2020     ASUBUHI                                                      YOHANA 16:25-27

25 Hayo nimesema nanyi kwa mithali; saa yaja ambapo sitasema nanyi tena kwa mithali, lakini nitawapa waziwazi habari ya Baba.
26 Na siku ile mtaomba kwa jina langu, wala siwaambii ya kwamba mimi nitawaombea kwa Baba;
27 kwa maana Baba mwenyewe awapenda kwa kuwa ninyi mmenipenda mimi, na kusadiki ya kwamba mimi nalitoka kwa Baba.

 

Tunamhitaji Roho Mtakatifu ili atufunulie habari za Kristo; na tunamhitaji Kristo amdhihirishe Baba kwetu. Hivyo, tunamtegemea Mungu katika Utatu wake ili tuweze kuelewa mambo ya kiroho. Bwana Yesu anatupa tumaini kwa ajili ya maisha yetu yajayo kwa habari ya kukua kiroho, ikiwa tu, tutamtafuta kwa moyo wote.