Date: 
13-06-2019
Reading: 
John 7:37-9 (Yohana 7:37-9)

THURSDAY 13TH JUNE 2019 MORNING                                               

John 7:37-39 New International Version (NIV)

37 On the last and greatest day of the festival, Jesus stood and said in a loud voice, “Let anyone who is thirsty come to me and drink. 38 Whoever believes in me, as Scripture has said, rivers of living water will flow from within them.”[a] 39 By this he meant the Spirit, whom those who believed in him were later to receive. Up to that time the Spirit had not been given, since Jesus had not yet been glorified.

Footnotes:

  1. John 7:38 Or me. And let anyone drink 38 who believes in me.” As Scripture has said, “Out of him (or them) will flow rivers of living water.”

Jesus has promised to give the Holy Spirit to those who believe in Him. The Holy Spirit came in power upon the Apostles on the day of Pentecost. Since that time those who are baptized as Christians in the name of the Father, Son and Holy Spirit, receive the gift of the Holy Spirit to guide them in their lives.

Thank God for the Holy Spirit and allow your life to be guided by Him. 


ALHAMISI TAREHE 13 JUNI 2019 ASUBUHI                                      

YOHANA 7:37-39

37 Hata siku ya mwisho, siku ile kubwa ya sikukuu, Yesu akasimama, akapaza sauti yake akisema, Mtu akiona kiu, na aje kwangu anywe. 
38 Aniaminiye mimi, kama vile maandiko yalivyonena, mito ya maji yaliyo hai itatoka ndani yake. 
39 Na neno hilo alilisema katika habari ya Roho, ambaye wale wamwaminio watampokea baadaye; kwa maana Roho alikuwa hajaja, kwa sababu Yesu alikuwa hajatukuzwa. 
 

Yesu Kristo aliahidi kutuma Roho Mtakatifu kwa waumini. Siku ya Pentekoste Roho Mtakatifu alishukia mitume kwa nguvu. Baada ya siku ile watu ambao wanabatizwa kama Wakristo kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu wanapewa zawadi ya Roho Mtakatifu kuwasaidia.

Tumshukuru Mungu kwa Roho Mtakatifu ambaye yu ndani yetu na tukubali kuongozwa naye.