Date: 
18-06-2020
Reading: 
John 8:13-20 (Yohana 8:13-20)

THURSDAY 18TH JUNE 2020     MORNING                                                                  

John 8:13-20  New International Version (NIV)

18 “If the world hates you, keep in mind that it hated me first. 19 If you belonged to the world, it would love you as its own. As it is, you do not belong to the world, but I have chosen you out of the world. That is why the world hates you.

If we live in obedience to Jesus Christ, we will threaten unbelievers in our family, at school, or at work, because our godly lives will expose their sin. As a result, they will try to get us to sin so that we are just as they are; or they will attack us falsely. Therefore, we have to be ready for the opposition.


ALHAMISI  TAREHE 18 JUNE 2020      ASUBUHI                                          

YOHANA 15:18-19

18 Iwapo ulimwengu ukiwachukia, mwajua ya kuwa umenichukia mimi kabla ya kuwachukia ninyi.
19 Kama mngekuwa wa ulimwengu, ulimwengu ungewapenda walio wake; lakini kwa kuwa ninyi si wa ulimwengu, bali mimi naliwachagua katika ulimwengu, kwa sababu hiyo ulimwengu huwachukia.

Ikiwa tutaishi kwa kumtii Yesu Kristo, tutafanyika tishio kwa wale wasioamini katika familia zetu, shuleni au  kazini kwa sababu maisha yetu ya utauwa yatadhihirisha dhambi zao. Matokeo yake, watajaribu kutuvuta ili tutende dhambi na kisha tufanane nao; au watatushutumu kwa mambo ya uongo. Hivyo, ni vyema tujiweke tayari kwa upinzani huo.