Project: 
Kiharaka Spiritual Center

Wazee wa baraza wakiongozana na Chaplain Mzinga, walitembelea mradi wa kiharaka waikiwa na lengo la kushiriki katika kusafisha eneo, kuona maendeleo, na kuchangia mawazo katika mradi. Video fupi iliyoengenezwa na Mch. Mwaipopo inaeleza mengi. Unaweza kuiona hapa. https://www.youtube.com/watch?v=oChH9y20M3I&feature=youtu.be