Matangazo ya usharika tarehe 28 Septemba 2025

DAYOSISI YA MASHARIKI NA PWANI

MATANGAZO YA USHARIKA  TAREHE 28 SEPTEMBA, 2025

SIKUKUU YA WATOTO: MIKAELI NA MALAIKA WOTE

NENO LINALOTUONGOZA SIKU YA LEO NI

TUWAPENDE NA KUWAJALI WATOTO KATIKA BWANA

1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli.

2. Wageni: Hakuna mgeni aliyetufikia na cheti.

3. Matoleo ya Tarehe 21/09/2025

Tunamshukuru Mungu aliyetupa afya ya kumwabudu na utayari wa kumtolea kwa hiari mali alizotupa kwa kazi yake.

NAMBA YA SADAKA KWA NJIA YA MTANDAO:

Matangazo ya usharika tarehe 21 Septemba 2025

DAYOSISI YA MASHARIKI NA PWANI

MATANGAZO YA USHARIKA

TAREHE 21 SEPTEMBA, 2025

SIKU YA BWANA YA 14 BAADA YA UTATU

NENO LINALOTUONGOZA SIKU YA LEO NI

TUNAITWA KUWA MAWAKILI WA MUNGU

1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli.

2. Wageni: Hakuna mgeni aliyetufikia na cheti. Kama kuna wageni ambao ni mara yao ya kwanza kushiriki nasi wasimame ili tuwakaribishe.

3. Matoleo ya Tarehe 14/09/2025