-
-
-
-
RATIBA YA IBADA: Mwaka Mpya 2026 | Azania Front Cathedral
Hii hapa ratiba kamili ya Ibada za Sikukuu ya Mwaka Mpya 2026 kama ambavyo zitafanyika katika Usharika wa Kanisa Kuu Azania Front.
Wote mnakaribishwa nyumbani kwa Bwana kusherehekea Neema na Baraka za Kumaliza Mwaka 2025 na Kuanza Mwaka Mpya 2026.

RATIBA YA IBADA: Krismasi 2025 | Azania Front Cathedral
Hii Hapa Ratiba Kamili ya Ibada zote za Msimu wa Sikukuu ya Krismasi 2025 katika Usharika wa Kanisa Kuu Azania Front.
Wote mnakaribishwa nyumbani kwa Bwana kusherehekea Sikukuu hii muhimu.

Kwa wageni tumia kiunganishi hiki kupata ramani na maelekezo jinsi ya kufika Usharikani Azania Front Cathedral: https://maps.app.goo.gl/WFvv489y7GatQd9S6
KARIBUNI SANA!
-
Matangazo ya usharika tarehe 21 Desemba 2025
DAYOSISI YA MASHARIKI NA PWANI
MATANGAZO YA USHARIKA
TAREHE 21 DESEMBA, 2025
SIKU YA BWANA YA 4 KATIKA MAJILIO
NENO LINALOTUONGOZA NI
TUTAZAMIE KWA FURAHA UJIO WA MWOKOZI
1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli.
2. Wageni: Hakuna mgeni aliyetufikia na cheti.
3. Matoleo ya Tarehe 14/12/2025
Tunamshukuru Mungu aliyetupa afya ya kumwabudu na utayari wa kumtolea kwa hiari mali alizotupa kwa kazi yake.
NAMBA YA SADAKA KWA NJIA YA MTANDAO:
- 0757 391174 - KKKT AZANIA FRONT
-
-
-
-
Matangazo ya usharika tarehe 14 Disemba 2025
DAYOSISI YA MASHARIKI NA PWANI
MATANGAZO YA USHARIKA
TAREHE 14 DESEMBA, 2025
SIKU YA BWANA YA 3 KATIKA MAJILIO
NENO LINALOTUONGOZA NI
ITENGENEZENI NJIA YA BWANA
1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli.
2. Wageni: Hakuna mgeni aliyetufikia na cheti.
3. Matoleo ya Tarehe 07/12/2025
Tunamshukuru Mungu aliyetupa afya ya kumwabudu na utayari wa kumtolea kwa hiari mali alizotupa kwa kazi yake.
NAMBA YA SADAKA KWA NJIA YA MTANDAO:
- 0757 391174 - KKKT AZANIA FRONT
-
- 1 of 2
- next ›
