Date: 
16-07-2019
Reading: 
Mark 5:21-24

TUESDAY  16TH JULY 2019                                                    

Mark 5:21-24 New International Version (NIV)

Jesus Raises a Dead Girl and Heals a Sick Woman

21 When Jesus had again crossed over by boat to the other side of the lake, a large crowd gathered around him while he was by the lake.22 Then one of the synagogue leaders, named Jairus, came, and when he saw Jesus, he fell at his feet. 23 He pleaded earnestly with him, “My little daughter is dying. Please come and put your hands on her so that she will be healed and live.” 24 So Jesus went with him.

A large crowd followed and pressed around him.

Jesus had compassion for those in need. He healed many sick people when He was on earth. Jesus heard the cry and of Jairus and He was willing to go with Jairus to  heal his daughter. Jairus’daughter actually died before Jesus reached her. But Jesus raised her from the dead.

Jesus is now in heaven but He still cares about our needs and problems. Come to Him in prayer and ask for His help. Trust Him to answer you as He sees best. 


JUMANNE TAREHE 16 JULAI 2019  ASUBUHI                              

MARKO 5:21-24

21 Hata Yesu alipokwisha kuvuka kurudia ng'ambo katika kile chombo, wakamkusanyikia mkutano mkuu; naye alikuwa kando ya bahari. 
22 Akaja mtu mmoja katika wakuu wa sinagogi, jina lake Yairo; hata alipomwona, akaanguka miguuni pake, 
23 akimsihi sana, akisema, Binti yangu mdogo yu katika kufa; nakuomba uje, uweke mkono wako juu yake, apate kupona, na kuishi. 
24 Akaenda pamoja naye; mkutano mkuu wakamfuata, wakimsonga-songa. 

Yesu Kristo anatuhurumia. Yesu akiwa duniani aliponya wagonjwa wengi. Yesu alijali shida ya Yairo na alikubali kwenda na Yairo.  Binti yake alifariki  kabla Yesu hajafika. Lakini Yesu alimfufua. Yesu sasa yupo mbinguni lakini bado anajali wenye mahitaji. Tuje kwake katika maombi na tulete shida zetu kwake. Amini Yesu atakujibu kufuatana na mapenzi yake.