Date: 
11-02-2020
Reading: 
Mark 8:22-26 (Marko 8:22-26)

TUESDAY 11TH FEBRUARY 2020  MORNING                                                      

Mark 8:22-26 New International Version (NIV)

22 They came to Bethsaida, and some people brought a blind man and begged Jesus to touch him. 23 He took the blind man by the hand and led him outside the village. When he had spit on the man’s eyes and put his hands on him, Jesus asked, “Do you see anything?”

24 He looked up and said, “I see people; they look like trees walking around.”

25 Once more Jesus put his hands on the man’s eyes. Then his eyes were opened, his sight was restored, and he saw everything clearly. 26 Jesus sent him home, saying, “Don’t even go into[a] the village.”

There are moments in our life when we will find ourselves spiritually hurting or in need of healing.

God is aware of the state of our faith and what needs to be done to cause it to grow. 

When we are weak, He is strong and will renew our faith to believe in Him again. (2Corinthians 12:9-10)


JUMANNE TAREHE 11 FEBRUARI 2020  ASUBUHI                       

MARKO 8:22-26

22 Wakafika Bethsaida, wakamletea kipofu, wakamsihi amguse.
23 Akamshika mkono yule kipofu, akamchukua nje ya kijiji, akamtemea mate ya macho, akamwekea mikono yake, akamwuliza, Waona kitu?
24 Akatazama juu, akasema, Naona watu kama miti, inakwenda.
25 Ndipo akaweka tena mikono yake juu ya macho yake, naye akatazama sana; akawa mzima, akaona vyote waziwazi.
26 Akampeleka nyumbani kwake, akisema, Hata kijijini usiingie.

Zipo nyakati maishani mwetu tunakuwa na maumivu rohoni na kuhitaji uponyaji.

Mungu anajua hali ya imani yetu na kile tunachohitaji ili iweze kuongezeka.  

Tunapokuwa wadhaifu, yeye anayo nguvu; na atahuisha imaini yetu ili tuweze kumwamini tena.  (2Wakorintho 12:9-10)