Date: 
21-12-2019
Reading: 
Mathew 11:1-4

SATURDAY 21ST DECEMBER 2019 MORNING
Matthew 11:1-14 New International Version (NIV)
11 Truly I tell you, among those born of women there has not risen anyone greater than John the Baptist; yet whoever is least in the kingdom of heaven is greater than he. 12 From the days of John the Baptist until now, the kingdom of heaven has been subjected to violence,[d] and violent people have been raiding it. 13 For all the Prophets and the Law prophesied until John. 14 And if you are willing to accept it, he is the Elijah who was to come.

Every believer, no matter of what rank in the church order, should know that Jesus is Messiah, the savior of the world; and therefore has the greater opportunity to tell the world that Jesus is the Lord and head of the Church.


JUMAMOSI TAREHE 21 DESEMBA 2019  ASUBUHI          MATHAYO 11:11-14
11 Amin, nawaambieni, Hajaondokea mtu katika wazao wa wanawake aliye mkuu kuliko Yohana Mbatizaji; walakini aliye mdogo katika ufalme wa mbinguni ni mkuu kuliko yeye.
12 Tangu siku za Yohana Mbatizaji hata sasa ufalme wa mbinguni hupatikana kwa nguvu, nao wenye nguvu wauteka.
13 Kwa maana manabii wote na torati walitabiri mpaka wakati wa Yohana.
14 Na ikiwa mnataka kukubali, yeye ndiye Eliya atakayekuja.

Kila muumini, haijalishi ana nafasi gani katika kanisa, ni lazima afahamu kuwa Yesu ni Masihi, mkombozi wa ulimwengu; na hivyo anayo nafasi kubwa ya kumhubiri Yesu kuwa ndiye Bwana na kichwa cha kanisa.