Date: 
18-02-2020
Reading: 
Matthew 24:32-35

TUESDAY 18TH FEBRUARI 2020  MORNING                                     

Matthew 24:32-35 New International Version (NIV)

32 “Now learn this lesson from the fig tree: As soon as its twigs get tender and its leaves come out, you know that summer is near. 33 Even so, when you see all these things, you know that it[e] is near, right at the door. 34 Truly I tell you, this generation will certainly not pass away until all these things have happened. 35 Heaven and earth will pass away, but my words will never pass away.

Are you ready for Christ’s return? Unless you have made a profession of faith in Jesus Christ as your personal lord and savior you are not ready. His promise is sure and we long for Him to come back.         


JUMANNE TAREHE 18 FEBRUARI 2020  ASUBUHI                        

MATHAYO 24:32-35

32 Basi kwa mtini jifunzeni mfano; tawi lake likiisha kuchipuka na kuchanua majani, mwatambua ya kuwa wakati wa mavuno u karibu;
33 nanyi kadhalika, myaonapo hayo yote, tambueni ya kuwa yu karibu, milangoni.
34 Amin, nawaambia, Kizazi hiki hakitapita, hata hayo yote yatakapotimia.
35 Mbingu na nchi zitapita; lakini maneno yangu hayatapita kamwe.

Je, uko tayari kumpokea Kristo ajapo mara ya pili? Usipomkiri Yesu Kristo kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yako, hutaweza kuwa tayari kumpokea ajapo mara ya pili. Ahadi zake ni za kweli; nasi tunangojea kwa hamu kurudi kwake.