Date: 
14-08-2019
Reading: 
Matthew 7:13-14

WEDNESDAY  14TH  AUGUST 2019 MORNING                                 

Matthew 7:13-14 New International Version (NIV)

The Narrow and Wide Gates

13 “Enter through the narrow gate. For wide is the gate and broad is the road that leads to destruction, and many enter through it. 14 But small is the gate and narrow the road that leads to life, and only a few find it.

Jesus Himself is the gate to heaven. We cannot go by our own efforts. But we need to make sure that we are truly on the right path in life.  Many people are not going the right way. They are following all sorts of religious and other ideas but they don’t know the truth.


JUMATANO TAREHE 14 AGOSTI 2019 ASUBUHI                                

MATHAYO 7:13-14

13 Ingieni kwa kupitia mlango ulio mwembamba; maana mlango ni mpana, na njia ni pana iendayo upotevuni, nao ni wengi waingiao kwa mlango huo. 
14 Bali mlango ni mwembamba, na njia imesonga iendayo uzimani, nao waionao ni wachache. 
   

Yesu mwenye ni mlango wa kuingia Mbinguni. Hatuwezi kwenda kwa kazi zetu. Hatuwezi kwenda kwa njia nyingine. Tuhakikishe tunafuata njia sahihi. Watu wengi wanafuata mawazo ya dini mbalimbali. Lakini Yesu anasema yeye ndiye njia pekee ya kufika kwa Mungu.