Date: 
26-08-2019
Reading: 
Proverbs 14:34-35 (Mithali 14:34-35)

MONDAY  26TH AUGUST  2019   MORNING                                

Proverbs 14:34-35 New International Version (NIV)

34 Righteousness exalts a nation,
    but sin condemns any people.

35 A king delights in a wise servant,
    but a shameful servant arouses his fury.

Righteousness means doing what is pleasing to God and according to His laws.  Let us stand for what is right and pray for our nation.


JUMATATU TAREHE 26 AGOSTI  2019 ASUBUHI                         

MITHALI  14:34-35

34 Haki huinua taifa; Bali dhambi ni aibu ya watu wo wote. 
35 Upendeleo wa mfalme humwelekea mtumwa atendaye kwa busara; Bali ghadhabu yake itakuwa juu yake aletaye aibu.

Haki ina pande mbili. Ni kutenda mema na kuwa na sheria ambazo zinawatendea watu sawa bila upendeleo.

Tujitahidi kuishi maisha ya haki na tuombee Taifa letu ili haki itendeke.