Date: 
02-11-2020
Reading: 
Proverbs 19:27-30

MONDAY 2ND NOVEMBER 2020 MORNING                                                    Proverbs 19:27-30 New International Version (NIV)

27 Stop listening to instruction, my son,

    and you will stray from the words of knowledge.

28 A corrupt witness mocks at justice,

    and the mouth of the wicked gulps down evil.

29 Penalties are prepared for mockers,

    and beatings for the backs of fools.

Wisdom comes with much time spent listening to God and listening to wise men and women. It comes also, as we listen from others who will correct us and help discipline us so that we listen to God; and not to our flesh, the world, or the devil.


JUMATATU TAREHE 2 NOVEMBA 2020 ASUBUHI MITHALI 19:27-30

27 Mwanangu, acha kusikia mafundisho, Ukitaka tu kuyaasi maneno ya maarifa.

28 Shahidi asiyefaa kitu hudhihaki hukumu, Na vinywa vya wasio haki humeza uovu.

29 Hukumu zimewekwa tayari kwa wenye mzaha; Na mapigo kwa mgongo wa wapumbavu.

Hekima huja kutokana na muda mwingi tunaotumia kumsikiliza Mungu na kuwasikiliza watu wenye hekima. Hekima huja pia tunapowasikiliza wengine ambao wataturekebisha na kuturudi ili tuweze kumsikiliza Mungu; na siyo miili yetu, dunia wala shetani.