Date: 
07-07-2020
Reading: 
Proverbs 2:6-7

TUESDAY 7TH JULY 2020  MORNING                                          

Proverbs 2:6-7 New International Version (NIV)

6 For the Lord gives wisdom;
    from his mouth come knowledge and understanding.
7 He holds success in store for the upright;
    he is a shield to those, whose walk is blameless,

God provides knowledge, wisdom, and understanding. God is our shield and a guard. He is the one who watches over those who demonstrate integrity. The Bible often connects reassurance with a call to persevere in the face of trials.


JUMANNE TAREHE 7 JULAI 2020  ASUBUHI                                  MITHALI 2:6-7

6 Kwa kuwa Bwana huwapa watu hekima; Kinywani mwake hutoka maarifa na ufahamu;
7 Huwawekea wanyofu akiba ya hekima kamili; Yeye ni ngao kwao waendao kwa ukamilifu;


Bwana hutoa maarifa, hekima na ufahamu. Mungu kwetu sisi ni ngao na ulinzi. Yeye ndiye awalindaye wote walio waaminifu. Mara kwa mara Biblia inahusianisha hakika aliyo nayo mwanadamu na wito wa kuvumilia katika nyakati za shida.