Date: 
30-10-2020
Reading: 
Proverbs 30:5-6 (Mithali 30:5-6)

FRIDAY 30TH OCTOBER 2020    MORNING                                               

Proverbs 30:5-6 New International Version (NIV)

“Every word of God is flawless;
    he is a shield to those who take refuge in him.
Do not add to his words,
    or he will rebuke you and prove you a liar.

God’s word needs no addition or improvement from us. It is all good and all helpful, therefore it should be trusted.


IJUMAA TAREHE 30 OCTOBER 2020     ASUBUHI                             

MITHALI 30:5-6

Kila neno la Mungu limehakikishwa; Yeye ni ngao yao wamwaminio.
Usiongeze neno katika maneno yake; Asije akakulaumu, ukaonekana u mwongo.

Neno lake Mungu halihitaji nyongeza au msaada wowote kutoka kwetu. Neno la Mungu lina uzuri wote na ndani yake kuna msaada wa kila aina, hivyo ni la kuaminiwa.