Date: 
06-07-2019
Reading: 
Psalm 18:21-25 (Zaburi 18:21-25)

SATURDAY 6TH JULY 2019 MORNING                                        

Psalm 18:21-25 New International Version (NIV)

21 For I have kept the ways of the Lord;
    I am not guilty of turning from my God.
22 All his laws are before me;
    I have not turned away from his decrees.
23 I have been blameless before him
    and have kept myself from sin.
24 The Lord has rewarded me according to my righteousness,
    according to the cleanness of my hands in his sight.

25 To the faithful you show yourself faithful,
    to the blameless you show yourself blameless,

The  Bible tells us that we are all sinners. However the Psalmist declares himself righteous before God.  He has done his best to honour God and obey His laws.

Let us repent our sins and strive to be faithful to God and obey His commandments.


JUMAMOSI TAREHE 6 JULAI 2019 ASUBUHI                              

ZABURI 18:21-25

21 Maana nimezishika njia za Bwana, Wala sikumwasi Mungu wangu. 
22 Hukumu zake zote zilikuwa mbele yangu, Wala amri zake sikujiepusha nazo. 
23 Nami nalikuwa mkamilifu mbele zake, Nikajilinda na uovu wangu. 
24 Mradi Bwana amenilipa sawasawa na haki yangu, Sawasawa na usafi wa mikono yangu mbele zake. 
25 Kwa mtu mwenye fadhili utakuwa mwenye fadhili; Kwa mkamilifu utajionyesha kuwa mkamilifu; 

Biblia inatuambia kwamba Binadamu sote tu wenye dhambi. Lakini Mtunga zaburi anasema hana hatia. Kwa nguvu zake zote anajitahidi kumheshimu Mungu na kutii amri zake.

Tutubu dhambi zetu na tujitahidi kutii sheria za Mungu.