Date: 
25-02-2021
Reading: 
Psalm 91:11-16 (Zaburi 91:11-16)

THURSDAY 25TH FEBRUARY 2021   MORNING                                       

Psalm 91:11-16 New International Version (NIV)

11 For he will command his angels concerning you
    to guard you in all your ways;
12 they will lift you up in their hands,
    so that you will not strike your foot against a stone.
13 You will tread on the lion and the cobra;
    you will trample the great lion and the serpent.

14 “Because he[b] loves me,” says the Lord, “I will rescue him;
    I will protect him, for he acknowledges my name.
15 He will call on me, and I will answer him;
    I will be with him in trouble,
    I will deliver him and honor him.
16 With long life I will satisfy him
    and show him my salvation.”

God amazingly delivers His people physically when others around them are falling. God often wills for his children to suffer, but forbids that the suffering hurts them in the end. 

If you are in the midst of difficulties; and find yourself in the furnace of affliction, know that God is guarding you and commissioning ministering angels for your good.


ALHAMISI TAREHE 25FEBRUARI 2021   ASUBUHI                                  

ZABURI 91:11-16

11 Kwa kuwa atakuagizia malaika zake Wakulinde katika njia zako zote.
12 Mikononi mwao watakuchukua, Usije ukajikwaa mguu wako katika jiwe.
13 Utawakanyaga simba na nyoka, Mwana-simba na joka utawaseta kwa miguu.
14 Kwa kuwa amekaza kunipenda Nitamwokoa; na kumweka palipo juu, Kwa kuwa amenijua Jina langu.
15 Ataniita nami nitamwitikia; Nitakuwa pamoja naye taabuni, Nitamwokoa na kumtukuza;
16 Kwa siku nyingi nitamshibisha, Nami nitamwonyesha wokovu wangu.

Mungu huwaokoa watu wake kwa namna ya ajabu, na wale wasiomtumaini huanguka. Mara nyingi Mungu anaruhusu watoto wake kuteswa, lakini hataruhusu mateso hayo yawadhuru.

Ikiwa uko katikati ya magumu; na kujiona katika tanuru la mateso, fahamu kuwa Mungu anakulinda na atawatuma malaika zake wakutumikie.