Date: 
28-11-2019
Reading: 
Revelation 22:16-17 (Ufunuo 22:16-17)

THURSDAY 28TH NOVEMBER 2019  MORNING    REVELATION 22:16-17

Revelation 22:16-17 New International Version (NIV)

16 “I, Jesus, have sent my angel to give you[a] this testimony for the churches. I am the Root and the Offspring of David, and the bright Morning Star.”

17 The Spirit and the bride say, “Come!” And let the one who hears say, “Come!” Let the one who is thirsty come; and let the one who wishes take the free gift of the water of life.

God gives us eternal life free of charge. Salvation is by grace through faith. We receive grace by faith, not works. Good works follows salvation.

“For by grace you have been saved through faith, and that not of yourselves; it is the gift of God, not of works, lest anyone should boast” (Ephesians 2:8,9).


ALHAMISI TAREHE 28 NOVEMBA 2019  ASUBUHI                               

UFUNUO 22:16-17

16 Mimi Yesu nimemtuma malaika wangu kuwashuhudia ninyi mambo hayo katika makanisa. Mimi ndimi niliye Shina na Mzao wa Daudi, ile nyota yenye kung'aa ya asubuhi.
17 Na Roho na Bibi-arusi wasema, Njoo! Naye asikiaye na aseme, Njoo! Naye mwenye kiu na aje; na yeye atakaye, na ayatwae maji ya uzima bure.

Mungu hutupa uzima wa milele pasipo gharama yoyote. Wokovu ni kwa neema, kwa njia ya imani. Tunapokea neema kwa njia ya imani, na siyo kwa matendo. Matendo mema ni matokeo ya wokovu.

“ Kwa maana mmeokolewa kwa neema, kwa njia ya imani; ambayo hiyo haikutokana na nafsi zenu, ni kipawa cha Mungu; wala si kwa matendo, mtu awaye yote asije akajisifu.” (Waefeso 2:8,9).