Date: 
11-11-2019
Reading: 
Romans 8:24-25 (Warumi 8:24-25)

MONDAY 11TH NOVEMBER 2019 MORNING                                                        

Romans 8:24-25 New International Version (NIV)

24 For in this hope we were saved. But hope that is seen is no hope at all. Who hopes for what they already have? 25 But if we hope for what we do not yet have, we wait for it patiently.

We believe that God has chosen us long ago to be His children. As God’s children; we are eagerly waiting for Christ’s coming so that we can be with Him. The Holy Spirit helps us in the season of waiting by taking our prayers to God.


JUMATATU TAREHE 11 NOVEMBA 2019 ASUBUHI                           

WARUMI 8:24-25

24 Kwa maana tuliokolewa kwa taraja; lakini kitu kilichotarajiwa kikionekana, hakuna taraja tena. Kwa maana ni nani anayekitarajia kile akionacho?
25 Bali tukikitarajia kitu tusichokiona, twakingojea kwa saburi.

Tunaamini kuwa tangu Mwanzo Mungu alituchagua kuwa watoto wake. Nasi kama watoto wa Mungu; tunasubiri kwa hamu kubwa kurudi kwake Yesu Kristo ili tuweze kwenda pamoja naye. Katika kipindi hiki cha kusubiri, Roho Mtakatifu hutusaidia kwa kupeleka maombi yetu mbele za Mungu wetu.