Date: 
05-01-2021
Reading: 
Romans 8:37-39

TUESDAY 5TH January 2021    MORNING                                               

Romans 8:37-39 New International Version (NIV)

37 No, in all these things we are more than conquerors through him who loved us. 38 For I am convinced that neither death nor life, neither angels nor demons,[k] neither the present nor the future, nor any powers, 39 neither height nor depth, nor anything else in all creation, will be able to separate us from the love of God that is in Christ Jesus our Lord.

In all things we are victorious and God makes us win because of His Great Love for us, in sending His Only Begotten Son to die in our place. The great work is already done for us, all we need to do is claim what the Lord Jesus Christ have done in our lives and then live for God in serving.


JUMANNE TAREHE 5 JANUARY 2021     ASUBUHI             

WARUMI 8:37-39

37 Lakini katika mambo hayo yote tunashinda, na zaidi ya kushinda, kwa yeye aliyetupenda.
38 Kwa maana nimekwisha kujua hakika ya kwamba, wala mauti, wala uzima, wala malaika, wala wenye mamlaka, wala yaliyopo, wala yatakayokuwapo, wala wenye uwezo,
39 wala yaliyo juu, wala yaliyo chini, wala kiumbe kinginecho chote hakitaweza kututenga na upendo wa Mungu ulio katika Kristo Yesu Bwana wetu.

Katika mambo yote sisi ni washindi, na Mungu anatupa kushinda kwa sababu ya upendo wake mkuu kwetu, kwa kumtuma mwana wake pekee afe kwa ajili yetu. Kazi kubwa imekwisha kufanyika kwa ajili yetu, tunachohitaji kufanya ni kuipokea zawadi hii ya ukombozi na kuishi katika kumtumikia Mungu.