
UFUNGUZI WA KANISA JIPYA CHAKECHAKE PEMBA, NA UZINDUZI WA USHARIKA WA NGERENGERE, MEI 2014

Muonekano wa Kanisa jipya la Usharika wa Ngerengere, Chakechake Pemba

Wachungaji wakizunguka jengo mara 3kabla ya ibada ya kukabidhi.

Askofu A. Malasusa na Dean G. Fupe wakishiriki katika kukabidhi kanisa lililopo Chakechake Pemba

Askofu Dr Alex Malasusa akiwa ameambatana na baadhi ya wachungaji katika ufunguzi wa Kanisa Chakechake Pemba

Mchungaji mama P Chuwa na mama T msangi wakishiriki kukuabidhi kanisa

Wachungaji na washarika wakiwa katika ibada ya Uzinduzi

Dean Fupe (kati) akitoa salaam.

Baadhi ya Wachungaji walioshiriki kukabidhi kanisa

Katibu mkuu wa DMP, Balozi Mariki (wa pili kulia) na baadhi ya Washarika.
(Picha na habari zimeandaliwa na Jane Mhina)
