We must decide how we will live our lives as Christians. Tunapaswa kuamua namna ya kuishi maisha yetu kama Wakristo.../Pastor J. Mlaki
Mark 16:14-18
13-01-2021
How have you personally responded to the call of the Great Commission? Je, wewe umeitikia kwa namna gani wito wa Yesu Kristo wa kuihubiri Injili? ../Pastor J Mlaki
1 PETER 2:9-10
08-01-2021
Christians have access to God through Jesus Christ. Mkristo amepewa kibali cha kuwasiliana na Mungu kupitia Yesu Kristo. ../Pastor J. Mlaki
John 8:12-14 (Yohana 8:12-14)
06-01-2021
Jesus came to open our eyes to the truth. Yesu alikuja kufungua macho yetu ili tuone ile kweli.../Pastor J. Mlaki
Romans 8:37-39
05-01-2021
In all things we are victorious. Katika mambo yote sisi ni washindi. ../Pastor J. Mlaki.
Luke 3:15-17
18-12-2020
We confess our belief in God the Father, the Son, and the Holy Spirit. Tunakiri imani yetu katika Mungu baba, Mwana, na Roho mtakatifu.
Luke 1:57-66
15-12-2020
God has a purpose for his Children. Mungu ana makusudi na wana wake.../Pastor J. Mlaki
Proverbs 8:22-27 (Mithali 8:22-27)
08-12-2020
Jesus Christ was engaged in both the creation and the salvation of the world. Yesu Kristo alihusika katika uumbaji na katika kuokoa Ulimwengu.../Pastor J Mlaki.
Isaiah 59:16-21
07-12-2020
No man can redeem him/herself. Hakuna mwanadamu awezaye kujiokoa mwenyewe. ./Pastor J Mlaki
Hebrews 10:32-36 (Waebrania 10:32-36)
01-12-2020
Christians draw encouragement from past experience of walking with the Lord...Wakristo tunatiwa moyo kutokana na maisha yetu yaliyopita na jinsi tulivyoenenda na Bwana.../Pastor J Mlaki