Kiswahili Jumapili saa 1:00 - 3:00 asubuhi na saa 3:30 - 5:30 asubuhi

English on Sundays 7:00 - 9:00 am and 9:00 - 10:30 am

Group Articles

Jumapili ya tarehe 12/10/2014, watoto wa Shule ya Jumapili ya Azania Front na waalimu wao waliaadhimisha sikukuu ya Mikaeli katika ibada zote kwa nyimbo, ngonjera na kukariri mistari ya biblia. Walionyesha umahirina kujiamini katika yote walioonyeshambele ya washarika. Aidha walikuwa na ujumbe uliogusa rika zote.
Jumapili ya tarehe 27/9/2015, watoto wa Azaniafront walikuwa na sikukuu ya Mikaeli kama ilivyo kawaida yakila mwaka
Jumapili tarehe 15/03/2015, watoto wa sunday school ya azania front walifanya maombi ya watoto kwa dunia. Tendo hilo lilifanyika katika ibada ya watoto na watu wazima pia.
Mchungaji Kiongozi wa kanisa la Azani Front Chaplin Charles Mzinga alipotembelea madarasa ya Sunday School kuwasalimu na kuwapa baraka watoto.
Waliowakilisha kwenye Tamasha lililofanyika Usharika wa Mabibo Farasi