RATIBA YA IBADA ZA KAWAIDA - REGULAR SERVICES

IBADA YA ASUBUHI - MORNING GLORY - (Kiswahili)
Jumatatu – Ijumaa saa 12:00 – 1:00 Asubuhi (Siku za kazi)
Monday – Friday 06:00 – 7:00 am (Except on public holidays)

IBADA YA MCHANA - Lunch Hour (Kiswahili)

Jumatatu - Ijumaa saa 7:00 - 7:30 mchana

Monday - Friday 1:00 - 1:30 pm

JUMAPILI – SUNDAYS

Misa ya kwanza saa 1:00 asubuhi - Kiswahili

Misa ya pili saa 4:00 asubuhi - Kiswahili

English service: 9:00am - English
German service: Every 3rd Sunday of the month, 10:30am - German

Sunday School - Luther House round conference hall - Kiswahili and English

KARIBUNI TUMWABUDU MUNGU WETU PAMOJA
WELCOME ALL TO PRAISE OUR LORD TOGETHER