Karibu Azania Front Cathedral.

Mlengwa (Msharika Mgeni) anapaswa kupakua fomu na kuijaza kikamilifu ikiwa ni pamoja na kuambatanisha picha yake ya passport size kisha ataipeleka fomu iliyojazwa kwa Katibu wa Chaplain akiwa na ushahidi wa cheti cha safari au barua ya utambulisho kutoka sehemu anapotokea.

Kwa melezo zaidi tembelea ofisi ya Katibu wa Chaplain.


Welcome to Azania Front Cathedral

Dear Visitor, at Azania Front Cathedral we feel blessed to welcome visitors to our Sunday Services, Weekdays’ Morning Glory and Afternoon Prayers. We also have those who chose the Cathedral for their Weddings, Baptism, Confirmation Services. To register as a member of our Congregation (English Service), please download the registration form fill and attach a passport photo and bring it to the Chaplain’s Office at Azania front.

The Secretary will be available to provide further guidance.