Mafundisho ya Afya kwa Wanafunzi wa Kipaimara

Kamati ya Afya na Ustawi wa jamii inapenda kuwatangazia kuwa mafundisho ya afya kwa wanafunzi wa Kipaimara kwa mwaka wa Kwanza na wa Pili yatafanyika tarehe 18/11/2023 kuanzia saa 2.30 asubuhi mpaka sa 8.00 mchana hapa Usharikani.  Wale waliopata Kipaimara kuanzia miaka 3 iliyopita wanakaribishwa kwenye mafundisho haya. Sambamba na Elimu ya Afya kwa Wanafunzi hao Wazazi na Walezi pia watakuwa na muda wa kujadili juu ya changamoto Malezi ya Watoto.

TANGAZO: Mafundisho ya Afya Kwa Wanafunzi wa Kipaimara

Kamati ya Afya na Ustawi wa jamii inapenda kuwatangazia kuwa mafundisho ya afya kwa Wanafunzi wa Kipaimara kwa mwaka wa Kwanza na wa Pili yatafanyika tarehe 18/11/2023 kuanzia saa 2.30 asubuhi mpaka sa 8.00 mchana hapa Usharikani Azania Front Cathedral.  Wale waliopata Kipaimara kuanzia miaka 3 iliyopita wanakaribishwa kwenye mafundisho haya. Sambamba na Elimu ya Afya kwa Wanafunzi hao Wazazi na Walezi pia watakuwa na muda wa kujadili juu ya changamoto Malezi ya Watoto.

Azania Front Cathedral | Sikukuu ya Mikaeli na Watoto 2023

“Tuwalee Watoto Katika Njia Ya Bwana," hayo ni maneno ya kutoka katika Biblia yaliyotumika katika mahubiri yaliyofanyika katika ibada ya Sikukuu ya Mikaeli na watoto iliyofanyika siku ya Jumapili tarehe 1 Oktoba 2023 katika Usharika wa KKKT Kanisa Kuu Azania Front Cathedral.

Sikukuu ya Mikaeli na watoto hufanyika kila mwaka kwa ajili ya kumkumbuka malaika Mikel na watakatifu wote pamoja na watoto. Ibada hii hufanyika kwa kuongozwa na watoto wakisaidiana na walimu wao pamoja na watumishi wengine wa usharika (parish workers).

AZF Delegation in Frondenberg & Bauhasen - Germany

Our delegation in Frondenberg & Bauhasen congregations in Germany. Pastor Joseph Mlaki from Azania Frpont Cathedral in Tanzania meeting his host Pastor in Gemany as part of our long lasting and historical relations. 

Azania Front Cathedral is committed to advancing these relations which have existed for so long with our sister congregations in Germany and around the world. Together we are serving and delivering the word of God to where it is needed.